TANZANIA KUSHIRIKIANA NA BOTSWANA KUKUZA SEKTA YA MADINI.

Na. Georgina Misama- MAELEZO Rais wa Jamuhuri ya Muugano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzaia itapeleka timu ya wataamu wa sekta ya madini nchini Botswana kujifunza mikakati ya namna ya kuendeleza madini  nchini kwaajili ya biashara duniani. Akizunguma katika mkutano maalumu na waandishi wa habari uliofanyika leo Ikulu Dar es salaam wakati wa